GMDF UMOJA PILE

       MPANGO WA KUKUZA UCHUMI-GMDF UMOJA PILE

 Karibu katika umoja wa GMDF UMOJA PILE. Umoja wa GMDF UMOJA PILE umepata hati ya usajili kisheria kutoa huduma ndogo za fedha kwa wanachama wake.

 Lengo kuu la umoja huu ni kujenga uwezo wa kiuchumi kwa wanachama wake kwa pamoja kwa kushirikiana pamoja.
 Kujifunza uwekezaji, elimu ya fedha na kuweka akiba kwa mwanachama na kwa kwa wanachame kupitia umoja huu.
 Walengwa wa umoja huu. Walengwa wakuu wa kikundi hiki ni watu wote lakini zaidi mtu yeyote anayetaka kujifunza maarifa mapya hasa elimu ya fedha, elimu ya uwekezaji na kuweka akiba

Mtu ambaye anataka au anatamani  kuanza kujifunza kujitegemea mwenyewe na kuajiri wengine sasa au  baadaye

Mwenye biashara ambaye anatamani kukua kibiashara, kuongeza ujuzi, kukuza mtaji wake na kujifunza njia mpya ya kuongeza thamani ya bidhaa na kuwa na ubora.

Mfanyakazi ambaye ameajiriwa na ambaye anataka kuongeza ujuzi katika uwekezaji na kujifunza biashara na uwekekezaji.

Mwanafunzi wa chuo na yule ambaye amehitimu (graduants) bado anatafuta ajira umoja huu ni muhimu  kujifunza na kufikia malengo.

Taasisi au ngo’s pia anaweza kujiunga na kuwa mwanachama

Familia moja au watu wa karibu (marafiki) wanaweza kuwa wanachama wa umoja huu. Umoja huu unawawaunganisha ndugu kwa pamoja

Jinsi ya kujisajiri na kuwa mwanachama wa GMDF UMOJA PILE

Kujisajiri  kwa kujaza taarifa za msingi katika mfumo na kulipa ada ya uanachama au kujaza taarifa kupitia fomu za uanachama ambazo zinapatikana kwa Kiongozi Mwanachama.

Ada ya uanachama ni ths 35,000/= kwa mwaka (Non-refundable)

Kwa taarifa zaidi juu ya umoja  huduma zake tembelea www.gmdf.or.tz na kisha tembelea ukurasa wa GMDF UMOJA kwa maelezo Zaidi.

Kwa mawasiliano au kutaka kujua zaidi wasiliana nasi

GMDF UMOJA PILE,

SLP  80256, Temeke Pile,
Dar es salaam
0755-089-545
0677-356-714

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *